Tanzania: Bila kupingwa, bila kukosolewa, bila haki “Wimbi la Hofu” laikumba Tanzania kuelekea uchaguzi 2025

Tanzania inaendelea kushuhudia ongezeko kubwa la tatizo la haki za binadamu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Licha ya gunduzi na mapendekezo yaliyotolewa na Amnesty Inaternational katika ripoti yake ya mwaka 2020 “Matumizi ya Sheria Kama Silaha: Ukandamizaji wa Kisheria Kabla ya Uchaguzi Mkuu Tanzania” iliyoangazia hali ya kutia wasiwasi kuhusu haki za binadamu kuelekea uchaguzi na kutoa wito kwa mamlaka za Tanzania kuheshimu na kuzingatia haki za binadamu katika kipindi chote cha kupiga kura na baada ya hapo , hali imekuwa

Choose a language to view report

Download PDF