HUKUMU ZA KIFO NA WATU WALIOADHIBIWA KIFO 2024

Ufuatiliaji wa Amnesty International wa matumizi ya adhabu ya kifo ulirekodi visa 1,518 vya watu walioadhibiwa kwa kunyongwa 2024, ambalo ni ongezeko la asilimia 32 kutoka 1,153 mwaka 2023. Kwa mwaka wa pili mfululizo nchi zilizotekeleza adhabu ya kifo zilifikia idadi ya chini zaidi kuwahi kurekodiwa.

Choose a language to view report

Download PDF