Saudi Arabia: Wamefungiwa, ametengwa: Maisha yaliyofichwa ya wafanyikazi wa nyumbani kutoka Kenya wanaofanya kazi nchini Saudi Arabia

Wafanyikazi wa nyumbani karibu milioni 4 nchini Saudi Arabia – wote wakiwa raia wa kigeni – huchangia pakunwa katika ukuaji wa nchi kiuchumi na kusaidia kwenye kazi za nyumbani. Lakini nyuma ya milango ya nyumba wanakofanyia kazi, wengi wao hukabiliwa na mateso, unyanyasaji na ubaguzi mwingi.  
Ripoti hii inafichua matatizo ya baadhi ya wanawake Wakenya walioajiriwa kufanya kazi katika nyumba za watu binafsi nchini Saudi Arabia, lakini wakajikuta wakifanyishwa kazi katika mazingira ambayo yanaweza kufananishwa na kazi ya kulazimishwa na usafirishaji haramu wa binadamu.

Choose a language to view report

Download PDF