Sisi, kama mashirika wasahihi, tunasikitika na uamuzi wa Tume ya Afrika Ya Haki za Binadamu na Watu wa kukataa ombi la kihadhi la mashirika matatu yakiwa Alternatives Cote d’Ivoire, Human Rights First Rwanda na Synergia – Initiatives for Human Rights.

